Ukweli wa Snura Kujifungua Wajulikana.. Mwenyewe Akubali Kudanganya Watanzani - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Mar 2015

Ukweli wa Snura Kujifungua Wajulikana.. Mwenyewe Akubali Kudanganya Watanzani

Wiki chache zilizopita tuliweka story kuhusu msanii Snura kujifungua na akakana kua hajajifungua na tukaweka story kuhusu mwonekano wake mpya baada ya kufungua japo alikana kua hakua amezaa mtoto
Sasa mpya ya leo ni story ya Snura kukubali kua ni kweli alizaa na baba wa mtoto huyo ni Dj wa Maisha Club Dj Hunter. Kitu cha kwanza Snura kufunguka ni sababu iliyomfanya yeye kuficha taarifa hizo za ujauzito na snura alisema kuasababu ya yeye kuficha kuwa ana mimba na kuficha kuwa ana mtoto sio sababu ya kuogopa walimwengu bali sababu za kikazi alijua mapromota ukisema una ujauzito hawakupi kazi,yeye ndio baba na mama wa watoto wake so aliangalia zaidi maslahi na alipiga mzigo mpk mimba ina miezi 5,alipoona sasa hawez tena walipanga na meneja wake waseme kaenda south kufanya video kumbe alikuwa chumbani kwake.
Snura alijifungulia hospitali ya Palestina Dar na wakati anaenda alivaa baibui kininja na aliwaomba manesi ajifungue chumba cha pekeyake. Snura kwa sasa yupo fit kupiga mzigo na ndio maana kayaweka wazi ana mtoto wa kiume anaitwa Taltham..