- MULO ENTERTAINER

Latest

13 Apr 2015

Baada ya hapo juzi Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu kueleza kuwa anatamani sana kupata mtoto lakini hana uwezo huo,Staa mwenzake ambae ni mama wa mtoto mmoja, Riyama Ally ampa neno hili la faraja na matumani.


Naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa na umri mkubwa sana utuuzimani wema bado mdogo muda utafika inshallah mola atakupa mume mwenye kheri na wewe uzae jike na dume usiumie mama mungu hukupa akujaalialo na sio umuombalo watoto ni kudra za mola na sio jitihada za wana dama atakupa maa muda ikifika tena utapakata na utanyonyesha inshallah amin nakupenda sanaaaaaaaaaa”- Riyama ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni. mara baada ya kubandika picha ya Wema.