Baada ya Kupost Picha akisapoti Show ya kaka yake Diamond na Zari Mlimani City Baadhi ya Mashabiki hasa wale Ambao wako Team Wema Walianza Kumtukana Esma na Wengine kuuliza Maswali kwanini anapost na wakati mume wake Petitman ni Maneja wa wema ..
Esma aliingia mtandaoni na Kuwajibu kama hivi:
'Naomba nieleweke mi hivi kwanini mnapenda kukuza mambooo... na kwanini mnapenda kunipangia vitu vya kupost ktk sim yangu mwenyewe alafu kabla hamjaongea fikilieni mara mbilimbili mnachoongea sio mnakurupuka mnatukana watu bila sababu so mlitaka nipost niwaambie watu wasiende #mlimanicity wat...?�� nitakuwa mwanga bac mkataaa kwao mtumwa kitu kinachomuhusu naseeb nitapost mwanzo mwisho sasa nyinyi kwaakili zenu zilizokuwa fupi mlizani nikiwa na petty ndio naweza ikataa familia yangu niingie familia nyingine haitotokea sina akili za kushikiwa kiasi hicho.. tukaneni mnavyojiskia na mnaotaka kujua km siko na petty soon mtajua km niko nae au siko nae... nimemaliza haya chambeni mtanikuta leba ' Esma