Kiongozi wa kundi la al-shabab atoa tamko hili hapa kuhusu kuvuruga amani nchini Tanzania. - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Apr 2015

Kiongozi wa kundi la al-shabab atoa tamko hili hapa kuhusu kuvuruga amani nchini Tanzania.


TAARIFA KUTOKA REDIO YARAT FM YA SOMALIA LEO SAA mbili asubuhi kwenye kipindi cha MAKHAR TWALLIB: Mkuu Wa kikundi cha AL shabab Leo asubuhi wakati akihojiwa juu ya taarifa zilizoenea kwamba wana mpango Wa kuvamia Tanzania amesema haya yafuatayo.
 Kamwe hawajawahi kufikiria kushambulia Tanzania Kwa sababu hawana sababu ya kufanya hivo!
 Amesema kwamba mbali ya kuzingatia kuwa 

Tanzania kuna waislam wengi Bali pia wanajua na kutambua msaada Wa mwalim Julius kambarage nyerere mwaka 1995 alipotoa msaada Wa tani 500000 za mahindi kipindi nchi hiyo ina janga LA njaa.Hivyo hawawezi kulipa unyama chuo Kwa marehemu baba Wa taifa.


Pia kiongozi huyo aliongeza kuwa Tanzania haijapeleka jeshi lake somalia yenyewe nchi kama nchi tofauti na Kenya na Uganda. Wanajeshi wachache watanzania walioko somalia ni katika jeshi LA AU na sio Kwa amri ya Tanzania.


Kiongozi huyo pia katoa pole katika muda Wa siku mbili ambao watanzania hususani wanachuo waliokuwa katika hali ya sintofahamu na pia vyombo vya usalama ambavyo vililazimika kuimarisha ulinzi katika sehemu nyeti mbali mbali.


Kiongozi huyo kamaliza Kwa kusema kwamba wao wanazingatia msemo Wa Quran kwamba,"Fight those who fight you,spare those who don't fight you'