Rose Ndauka 'Naichukia Sana Mvua Inaniharibia Madili Yangu Sana ila Sina la Kufanya Kwani Mungu Ndie Anayepanga' - MULO ENTERTAINER

Latest

6 May 2015

Rose Ndauka 'Naichukia Sana Mvua Inaniharibia Madili Yangu Sana ila Sina la Kufanya Kwani Mungu Ndie Anayepanga'

Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.

Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.

Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.