AIBU Nyingine Kenya, Mzee wa Miaka 80 Akutwa Akifanya Mapenzi na KUKU - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Jun 2015

AIBU Nyingine Kenya, Mzee wa Miaka 80 Akutwa Akifanya Mapenzi na KUKU


Sasa hii Imezidi nchini Kenya ..Yaani unaambiwa haipiti wiki bila kusikia tukio la Mtu kufanya mapenzi na wanyama wa kufungwa...
Siku ya Terehe 19 mzee mmoja wa miaka 80 amejikuta katika aibu ya mwaka baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Kuku laivu bila chenga , tukio hili limekuja baada ya siku kadhaa zilizopita mtu mwingine kukutwa akifanya mapenzi na Mbuzi ...

Babu huyo alipelekwa mahakamani na kukubali kosa na baadae kupata dhamani kwa Ksh 50,000 ..