Faiza Ally...mwenye nguvu ya kukurudishia mtoto wako ni wewe mwenyewe, si media... ukizungumza sana hapo ndo unampa nguvu Sugu kutengeneza au kutafuta ushahidi dhidi yako. .
.
Linapokuja suala la mtoto nakuwa makini sana kuzungumza na kusimama na mzazi mmoja...hasa kwa wazazi kama nyie ambao wote mnampenda mtoto au mmekuwa pamoja na mtoto tangu amezaliwa! chuki zenu na ugomvi mviweke pembeni haijalishi wewe una makosa au Sugu ana makosa...suala kubwa hapa ni mtoto! .
.
Angalia njia sahihi za kupata haki yako ikiwemo na kujishusha pia kutaka mazungumzo ya amani na baba mtoto wako kama huwezi kuonana nae tafuta lawyer mzuri kimya kimya akusimamie upate haki yako... Hii itamsaidia sana mtoto ili akue akiwapenda wazazi wake wote wawili...Sasha anakuhitaji sana pia anamuhitaji na baba yake.
Sugu Kama kuna mambo yametokea baina yenu yawezekana nawe una point ya maana sisi hatujui....sijali khs ubunge wako au uwezo wako kifedha angalia maslahi ya mtoto kwanza.....weka amani na mama mtoto wako ikibidi fanyeni vikao vya familia mmalize tofauti yenu....kutumia media haitamsaidia mtoto itamwathiri na kujenga chuki hapo baadae.
Mtoto si wa mzazi mmoja, anawahitaji wazazi wake wote wawili. Wekeni kando tofauti zenu, mumwangalie mtoto, hii vita yoote nyie mnajifurahisha ila anayeumia ni mtoto!