Jokate Mwegelo afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Alikiba - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Jun 2015

Jokate Mwegelo afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Alikiba

Kila mtu anaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi licha ya kupost tu picha zao kwenye Instagram na hivyo kukuza zaidi tetesi hizo.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV.


  • “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali. Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be around with the best,” alisema Jokate kujibu swali la uhusiano alionao na King Kiba.



  • “Mimi kwanza ni mchanga, kwahiyo nakaa naye karibu ili niweza kujijenga kimuziki, that is it.”


Sounds kama si jibu tunalohitaji kulisikia!