Kupitia Video ya Nyimbo Mpya ya Davido..Diamond Platnumz Unachakujifunza... - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Jun 2015

Kupitia Video ya Nyimbo Mpya ya Davido..Diamond Platnumz Unachakujifunza...

Nimemuelew kwanz Davido kufanya collabo na msanii mwenye jina kubwa ulimwenguni Meek Mill hii ndo hatua inayotakiwa hii inaonysha ni mafanikio makubwa na davido anazidi kukuza jina..Tukiangalia kwa hapa Bongo wasanii wamekua wanshindana nan katoa video kali tu isiishe hivyo inabidi tujipange kufanya colabo na wasanii wakubw na wenye majina kwan hyo inasaidia kupata mashaki wake na kukuongza mashabiki hivyo ina kuza muziki na mauzo kwa ujumla ya kaz zao..