Makonda Akanusha Kutuma Askari Kukamata Watu Wanaolala Mchana Guest - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Sept 2016

Makonda Akanusha Kutuma Askari Kukamata Watu Wanaolala Mchana Guest

Akihojiwa kwenye kipindi cha Pb Clouds amesema hajawahi kutoa maagizo kama hayo, kinachofanyika ni Umbeya umbeya tu.

"Mimi kama Mwenyekiti wa ulinzi Na usalama siwezi kutoa maagizo kama haya, kuna watu wanafanya kazi viwandani wengine usiku hivyo wanahitaji kupumzika mchana huwezi kuwazuia"

Kinachofanyika ni Umbeya, siwezi kujibu hoja za kimbeya ni ujinga ....alimaliza Mh Makonda.!