Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio) - MULO ENTERTAINER

Latest

18 Jun 2015

Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio)

Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.

Awali alikanusha taarifa lakini baadaye akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli  basi ni ya kwake huku akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.