Ni mmoja wa vijana ninayemkubali sana Lowassa tangu akiwa waziri wa maji na baadae waziri mkuu. Maskini Pamoja kuugwa mkono na kila rika lakini kwa hotuba za makada wawili wanaoitaka hii nafasi ya uraisi ni dhahiri maadui wako wako ndani ya CCM na si UPINZANI kama nilivyokuwa najidaganya hapo awali!! pamoja na hotuba ya kistaarabu uliyoitoa juzi wenzako hawana hilo. Lakini mungu ni mwema tutashinda.
2 Jun 2015
New