Ukweli Kuhusu Mgombea Edward Lowassa Kupendelewa na Vyombo vya Habari Mbio za Urais 2015 - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Jun 2015

Ukweli Kuhusu Mgombea Edward Lowassa Kupendelewa na Vyombo vya Habari Mbio za Urais 2015

Nimekuwa Nikifuatilia kwa Makini sana hizi Mbio za Urais 2015 Kile ninachokiona na Kama Vile mgombea Huyu Edward Lowassa Anependelewa na Vyombo vya Habari Kila Kona iwe Magazeti, Blogs na TVs...Habari zake zinapewa Airtime sana na kuandikwa sana ...
Je kuna nini Kinaendelea ?