Diamond Azidi Kuwaziba Watu Midomo...Ashinda Tuzo Nyingine Usiku wa Leo Huku Afrika Kusini '‘African Achievers Awards’ - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Jul 2015

Diamond Azidi Kuwaziba Watu Midomo...Ashinda Tuzo Nyingine Usiku wa Leo Huku Afrika Kusini '‘African Achievers Awards’

Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’