Mtangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Ramesh Patel Amekamatwa na TAKUKURU Akitoa Rushwa - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2015

Mtangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Ramesh Patel Amekamatwa na TAKUKURU Akitoa Rushwa

Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

Je kwa mfumo huu wa kutoa rushwa katika Hatua ya Kura za maoni na hata kampeni kubwa,wananchi wataweza kuwachagua viongozi bila ushawishi wa Fedha?na Kiongozi kama Ramesh Anatufundisha nini?