Mama Amefungwa Maisha Marekani Kwasababu ya Kuua Watoto Wake Wawili na Kuwaweka Kwenye Freezer kwa Miaka Kadhaa - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Jul 2015

Mama Amefungwa Maisha Marekani Kwasababu ya Kuua Watoto Wake Wawili na Kuwaweka Kwenye Freezer kwa Miaka Kadhaa

Mama amefungwa maisha Marekani kwasababu ya kuua watoto wake wawili na kuwaweka kwenye freezer kwa miaka kadhaa.

Kisa cha kuwaua watoto wake ni kwamba watoto hao ambao ni wakubwa walikuwa wakiwabaka na kuwalawiti wadogo zao wawili. Kwa hasira akawaua na kuwaficha humo kwenye freezer. .

Ni mambo ya aibu sana hata kuyazungumzia tunaishi kwenye dunia iliyochanganyikiwa sasahivi...mama kuua watoto wake...watoto kuwabaka wadogo zao.... .

Hivi karibuni huyo mama aliulizwa je watoto wangekuwa hai leo je angefanya kitendo kama alichofanya? Akasema ndiyo bado angewaua... Inasikitisha!!