Vurugu zimetokea leo Zanzibar baada ya Wanachama wawili wa CUF kupigwa risasi na watu waliofunika Nyuso zao - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Jul 2015

Vurugu zimetokea leo Zanzibar baada ya Wanachama wawili wa CUF kupigwa risasi na watu waliofunika Nyuso zao

Hali ya hatari imetanda katika wingu la Zanzibar mchana huu kufuatia Wanachama wawili wa CUF (majina yao bado hayajafahamika) kupigwa risasi na watu waliofunika nyuso zao kwenye kituo cha kuandikishia wapiga kura Makunduchi.

Waathirika wamewahishwa hospitali ya Arahma kuwahi matibabu ya haraka.

Taarifa zaidi tutawajuza zaidi...