Diamond Platnumz Atoa Wimbo Mpya wa Kumpigia Kampeni Magufuli wa CCM, Usikilize Hapa– CCM No-1 - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Aug 2015

Diamond Platnumz Atoa Wimbo Mpya wa Kumpigia Kampeni Magufuli wa CCM, Usikilize Hapa– CCM No-1

Diamond kaamua kuja na hii mpya, ameipa jina CCM No-1 ikiwa ni maalum kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu. Isikilize hapa….