Diamond Platnumz Noma Sana..Amdaka NEYO Nairobi na Kufanya Nae Collabo Moja Matata...Kiba Je ? - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Aug 2015

Diamond Platnumz Noma Sana..Amdaka NEYO Nairobi na Kufanya Nae Collabo Moja Matata...Kiba Je ?

Huwa nawashangaa sana wanao semega eti Diamond ni freemanson wakati juhudi zake za kupita kiasi zinaonekana ..Unaambiwa Neyo amekuja kufanya Coke Studio na Kiba ila Diamond hapo hapo akachukua fursa bila kupoteza muda na kumburuza NEYO studio kutoa kitu kipya..ANGALIA PICHA HIZO USHAHIDI WAKIWA STUDIO NA SHEDDY CLEVER YULE PRODUCER WA NGOLOLO.. Hahah
Natumaini kiba na yeye atakamata fursa...ole wako urudi bongo bila collabo

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI