Diamond Platnumz:Usipokuwa na Ufahamu Mkubwa, Leo Unaweza Dhani eti nna Maslahi Binafsi na CCM...ila..... - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Aug 2015

Diamond Platnumz:Usipokuwa na Ufahamu Mkubwa, Leo Unaweza Dhani eti nna Maslahi Binafsi na CCM...ila.....

Diamond Ameandika Haya Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram:

Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa napost Hapa... Hebu jiulize kwanini wao wakione Chama Kibovu leo baada ya kukatwa wao????? Mbona siku zote hawakuliona hili??? Kwakuwa Wamekosa ndio Ghafla Chama kibaya..???? Si juzi tu walikuwa wanakisifia???? Tena Masifa kedekede, baada wao kukosa ndio kimekuwa kibaya...???

Kama una FACT nijibu hapo ili mimi na wewe Tuijenge nchi yetu Matusi hayatokusaidia wewe, Mimi wala Mtanzania Mwenzetu ataesoma hapa, Tuelekezane kibusara Ukinipa Point basi naja, Kama Hauna Point nakukaribisha.... Ccm Chama la Wana!!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI