One Man Army Lowassa VS Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Magufuli, Makongoro, Membe and BongoFleva. - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Aug 2015

One Man Army Lowassa VS Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Magufuli, Makongoro, Membe and BongoFleva.

Japo ni Makapi ya CCM ila Kwa sasa Hakika Lowassa ni Tishio kwa CCM, Tena Tishio Hasa kiasi cha kuwanyima usingizi Japo wanajikaza Kisabuni... Leo nimejaribu kusikiliza kwa Makini Ufunguzi wa CCM Jagwani ..Yaani nilichokipata ni Kuwa Wanajihami zaidi kutokana na uwepo wa Lowassa Ukawa...Hotuba za Marais waliopita zote zilikuwa zinamzunguka Lowassa, Namsifu Magufuli kwani yeye Hutuba yake angalau ilikuwa imejikita katika utendaji wa kazi.....
Ni kama One Man Army Lowassa VS Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Magufuli, Makongoro, Membe, BongoFleva na Wengine wengi Ndani yake.....

By J.Mdakuz
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI