Dr. Magufuli Afutika Ghafla Kwenye Vyombo vya Habari...... - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Aug 2015

Dr. Magufuli Afutika Ghafla Kwenye Vyombo vya Habari......

Wadau mtakubaliana na mimi kwamba ni jambo kubwa na la ajabu sana kuona kwa hali ilivyokua mwanzoni mwa mwezi huu kule Dodoma media zote silihamia kule lakini hivi sasa ni UKAWA,CHADEMA,DR SLAA na LOWASSA basi.

Nauliza mbona kwa sasa Magufuli hasemwi kama alivyotoka Dodoma? Kwani na yeye si anafaa pia kua Rais jamani? Tusimsahau na yeye maana ana mazuri yake pia katika ujenzi wa Taifa hili.