Edward Lowassa aendelea kugawa DOZI!! Nguli mwingine wa CCM atua CHADEMA. Aliyekuwa Mbunge wa KYELA na Mkuu wa Mkoa Mbeya - Ndugu John Mwakipesile ametangaza rasmi kuihama CCM leo na kujiunga na CHADEMA. Read more