EDWARD LOWASSA Aja na Mpya Leo..Hapa nimekuweka Picha Nne Akiwa Kapanda Daladala na Kufanya Haya - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Aug 2015

EDWARD LOWASSA Aja na Mpya Leo..Hapa nimekuweka Picha Nne Akiwa Kapanda Daladala na Kufanya Haya

Baada ya mafuriko ya CCM jana pale jagwani katika uzinduzi wa Kampeni za Urais leo asubuhi Mh Lowassa ameamka na Kick ya kupanda daladala na kusikiliza matatizo ya wananchi laivu laivu...hizi hapa picha nne akiwa katika tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI