Hofu ya Lowassa, CCM Wakutana Ghafla Dodoma - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Aug 2015

Hofu ya Lowassa, CCM Wakutana Ghafla Dodoma

Katika kile kinachoonekana hali mbaya ndani ya Chama kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba, Kamati Kuu ya CCM inakutana Mjini Dodoma chini ya Uongozi wa Mwenyekiti Jakaya Kikwete.

Ripoti za ndani zinadai ajenda kuu ni Kuzuia Kasi ya Edward Lowassa ambae anaonekana kuwatesa kila uchao.

Tutaendelea kujuzana yanayojiri huko, Usicheze mbali.