Je, TBC watarusha habari ya SUMAYE kujiunga Na Makamanda? - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Je, TBC watarusha habari ya SUMAYE kujiunga Na Makamanda?

Ni wazi kuwa TV ya Taifa imekuwa hairushi kabisa habari za ukawa...sasa leo tutegemee kurushwa habari hii ya waziri mkuu mstaafu mh.sumaye kujiunga na makamanda?
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI