Matokea ya Mechi Kati ya Yanga na Azam Nimekuwekea Hapa..... - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Matokea ya Mechi Kati ya Yanga na Azam Nimekuwekea Hapa.....

Leo Palikuwa na Mtanange wa Shoka Kati ya Yanga na Azam Kugombania Ngao ya Hisani ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania ..Na Matokeo ni Kama yafuatayo...
Yanga wameshinda ngao ya hisani kwakuifunga Azam kwa Penati 8 kwa 7
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI