Lowassa Funguka Kila Kitu Kuhusu Richmond, CCM Wanapanga Kukuanika - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Aug 2015

Lowassa Funguka Kila Kitu Kuhusu Richmond, CCM Wanapanga Kukuanika

Wakati umefika kwa Lowassa kujibu mapigo na kuwaeleza watanzania kila kitu(A-Z) kuhusu Richmond maana kwa mujibu wa gazeti la Uhuru la leo tarehe 19/08/2015,CCM wanapanga kutumia kile kinachoitwa "file chafu" la Lowassa kukuchafua hivyo nawe jibu mapigo bila kuficha chochote vinginevyo itaku-cost.

Kichwa kimoja kidogo cha habari katika ukurusa wa mbele kinasomeka, "faili chafu lenye lundo za kashifa kufunguliwa J'pili".

Tukumbuke J'pili ndio CCM nao wanazindua campaign zao.

Yangu ni hayo tu.

By Salary Slip /JF
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI