Easter Bulaya Apewa Fomu ya Ubunge kwa Mbinde...'Kwanini Awe Yeye Badala ya Mshindi wa Kwanza". - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Aug 2015

Easter Bulaya Apewa Fomu ya Ubunge kwa Mbinde...'Kwanini Awe Yeye Badala ya Mshindi wa Kwanza".

Ester Bulaya, mshindi Wa Tatu kura za maoni CDM, Amepitishwa na chama kupeperusha bendera ya chama kama mgombea Wa Ubunge -BUNDA. Alipokwenda kuchukua Form yake msimamizi Wa uchaguzi akamgomea. Kisa .."kwanini uwe wewe badala ya mshindi Wa kwanza".

Mtanange haukuishia hapo, mwenyekiti Wa chama plus mshindi Wa kwanza kwenye kura za maoni wote wakavamia offisi ya msimamizi huyo kushinikiza Ester Bulaya apewe Form, bado msimamizi akagoma kwa madai Yale Yale kwanini wakupe wewe sio yule. Mtifuano ulipozidi akaachia form.

Watanzania hii Tafsiri yake nini? Kiongozi sampuli hii huko mbeleni itakuwaje.. Na wako wengi type hiyo..

TAFAKARI AISEE..
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI