Hamida HassanStaa wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni amefunguka siri iliyokuwa kwenye uvungu wa moyo wake kwamba analitamani sana penzi la mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ila anaumia kwa kuwa anajua amechelewa.
Akichonga na Ijumaa hivi karibuni, Sabby aliyewahi pia kuwa mpenzi wa Mwanamuziki Bob Junior alisema anajuta kwa nini alichelewa kuzianika hisia zake kwani Diamond ana sifa zote ambazo angependa mpenzi wake awe nazo.
“Yaani nimeficha hisia zangu siku nyingi lakini bora niseme ukweli kwamba natamani kuwa na Diamond kimapenzi, nahisi ni mwanaume anayejua kuishi na mwanawake,” alisema Sabby.