Picha za Mwigizaji Jack Wolper Kwenye Mkutano wa Lowassa Leo...Apewa Mike na Kusizitiza Jina lake sasa ni Jack Lowassa - MULO ENTERTAINER

Latest

30 Aug 2015

Picha za Mwigizaji Jack Wolper Kwenye Mkutano wa Lowassa Leo...Apewa Mike na Kusizitiza Jina lake sasa ni Jack Lowassa

 Katika Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusizitisha kuwa kwa sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram siku kadhaa zilizopita...
Jack Lowassa akisistiza jambo pembeni ni Aunt Ezekiel na katikati ni Shamsa Ford
Msanii wa Filamu Bongo Movies Jack Wolper akisalimiana na Lowassa mara baada ya kumpatia keki,ambapo jana mh.Lowassa alikuwa anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI