Shamsa Ford na Nay wa Mitego Waweka Mambo Hadharani.. Wadai Wao ni Wapenzi - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Aug 2015

Shamsa Ford na Nay wa Mitego Waweka Mambo Hadharani.. Wadai Wao ni Wapenzi

Hatimae Mwanamuziki Ney wa Mitego na Mrembo Shamsa Ford Wamekubali live Bila chenga kwamba wao ni Wapenzi na wanapika na Kupakuwa...Hiii imekuja baada ya Muda Mrefu Kukataa kuwa wao ni wapenzi...Nay na Shamsa Wameongea Hayo Kwenye Global Online TV ya Global Publishers......