Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Undumilakuwili - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Aug 2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Undumilakuwili

Wakati CCM wanazindua kampeni zao pale jangwani walizidisha muda ya ule unaokubalika wa saa 12 jioni hatukuona kalipio lolote lile toka NEC kuwa CCM walivunja kanuni. Wapinzani walipoanza kuwatambelea wapiga kura wao NEC imeamka usingizini na kudai wamevunja kanuni. Tunaomba NEC popote pale walipo wanijibu hili kwa ushahidi ni lini waliwaandikia CCM kuvunja kanuni
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI