Utafiti Mpya: Lowassa Kuibuka Mshindi kwa asilimia 51.2%, Magufuli kuambulia 47.9% - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Aug 2015

Utafiti Mpya: Lowassa Kuibuka Mshindi kwa asilimia 51.2%, Magufuli kuambulia 47.9%

Utafiti wa awali uliotolewa na shirika la Kimataifa umeonyesha kwamba Lowassa atashinda kwa asilimia 52.1% Dhidi ya Magufuli 47.9..... (see attached document).... Utafiti huu umefanywa kwa mikoa 29 Tanzania

Kwa upande wa wabunge inaonyesha CCM wataongoza kwa kuwa na wabunge wengi dhidi ya Ukawa.....

Mytake:... Lowassa Hazuiliki...
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI