BREAKING NEWS:>> DJ FETTY AAMUA KUAGA CLOUDS FM NA KWENDA KUFANYA BIASHARA YAKE BINAFSI. SOMA HAPA. - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Sept 2015

BREAKING NEWS:>> DJ FETTY AAMUA KUAGA CLOUDS FM NA KWENDA KUFANYA BIASHARA YAKE BINAFSI. SOMA HAPA.





DJ FETTY aaga rasmi leo clouds fm na kuamua kuenda n kuanzisha biashara zake watu kibao wasononeka baada ya kupata habari hizo.

Picha akiwa na RUBY msanii ambaye sasa anahit kwa wimbo wake wa NA YULE na katika data data inafahamika kwamba yeye(FETTY) ndo kamtoa RUBY na kuweza kufahamika kama alivyo sasa.