KWA WANANDOA, "MWENZA" HAJIWEZI!!! UNAFANYAJE? - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Sept 2015

KWA WANANDOA, "MWENZA" HAJIWEZI!!! UNAFANYAJE?


Kuishi wawili ni kuvumiliana na kuona mengi, miongoni mwa hayo ni hili, inaweza ikatokea Mume ana Matatizo katika utendaji au Mke akawa ndo mwenye Tatizo. Ikiwa hali ipo hivyo tunafanyaje? Si vizuri baada ya kuona mapungufu ya mwenza wako ukaamua kutoka na kutafuta Nje wa kuziba Pengo. Suluhisho ni wote kwa pamoja kuungana na kulitafutia ufumbuzi wa kudumu tatizo husika, iwe ni kwa dawa za hospitali au tiba mbadala, na kama ni mapungufu ya kielimu wanaone wataalam wa mambo hayo wawape elimu na ushauri utakaowafaa hatimaye kuzidi kuilinda na kuienzi ndoa yenu!