Kwa Wanandoa Tu: Ni Halali Kupokea Simu ya Mumeo/Mkeo Akipigiwa? - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Sept 2015

Kwa Wanandoa Tu: Ni Halali Kupokea Simu ya Mumeo/Mkeo Akipigiwa?

In case mumeo/mkeo yuko mbali kidogo na simu yake halafu ikatokea akapigiwa simu na mtu ambaye aidha ni namba ngeni au iliyohifadhiwa kwenye simu, na wewe upo karibu na simu yake, Je, unaweza kumpokelea!
Nawasilisha!