MASKINI: Dr. Slaa Amesahaulika Kabisa Katika Ramani ya Siasa Bongo.... - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Sept 2015

MASKINI: Dr. Slaa Amesahaulika Kabisa Katika Ramani ya Siasa Bongo....

Wakuu kweli siasa ni mchezo mchafu ukijaribu kuchafua ndio inakupoteza katika harakati za kutimiza matakwa ya mrengo wa pili na ambao walikua wafadhili wake hatimaye Dr. Slaa amepotea kwenye siasa za bongo kama Mtu aliyezombwa na mafuriko ya mtu huku anacheka hovyo kumbe anaenda kilindini tayari kwa kifo....
Nadhani Prof Lupumba Amejifunza Mengi na Aendelee Kukaa Kimya Huko Alipo Akisubutu Kufungua Mdomo bila kufikiria Impact yake ajue nae Atasahaulika....