Sauti Sol wamerudi tena kwenye headlines za burudani na single yao mpya ‘Isabella’..(Audio) - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Sept 2015

Sauti Sol wamerudi tena kwenye headlines za burudani na single yao mpya ‘Isabella’..(Audio)

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya inazidi kufanya vizuri kwenye industry ya burudani ..wamerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia single yao mpya inaitwa ‘Isabella’.

Sauti Sol wanatamba na ngoma zao kama ‘Narea’, ‘Sura yako’ na ‘Shake Yo Bam Bam’

Isikilize hapa mtu wangu…