Zari 'the bigboss lady' aonekana Duka la Nguo akiwa na Mtoto wao Latiffah - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Sept 2015

Zari 'the bigboss lady' aonekana Duka la Nguo akiwa na Mtoto wao Latiffah



Baada ya Kufikisha siku 40 toka kuzaliwa mtoto tiffah Nassibu,sasa imekuwa kawaida kwa sura yake kuonekana,haya yamejidhihirisha baada ya kuonekana akiwa na mama yake Zari maeneo ya Msasani kwenye duka la nguo za watoto la babyshop ambako tiffah ni kama balozi kwenye hilo duka.

Zari akiwa na Mwanae kwenye duka hilo