Nina nia ya dhati kutoa ushauri kwa dr. Slaa katika kipindi hiki kigumu kwake katika cha maisha kisiasa. Sitasema mengi katika uzi huu zaidi ya kumwomba Dr. Slaa aanzishe chama chake kipya cha siasa nje ya vyama vya siasa vilivyopo kwa sasa ili aendeleze mapambano dhidi ya ufisadi baada ya uchaguzi mkuu.
8 Oct 2015
New