Shilole Aongelea Kwapa za Nuhu Mziwanda Kutonyolewa..Awapa Makavu Laivu Wanaofatilia Maisha ya Watu - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Oct 2015

Shilole Aongelea Kwapa za Nuhu Mziwanda Kutonyolewa..Awapa Makavu Laivu Wanaofatilia Maisha ya Watu

'Mnaosema mara oooh kwapa sijui anyoi sasa mm ndo nazipenda hizo nywele za kwapani na hazinyoi ilimradi ziwe safi na zinanukia! Mkome kufatilia maisha ya watu mara oooh kafuta tatooo mlikuwepo wakati anafuta?? Acheni umbea ndo maana mnaaumbukaga tatoo hajafuta na tupo pamoja true love never die' Shilole