Baada ya Kushinda Tuzo Tatu za AFRIMMA 2015, Mwanamuziki Diamond Asema Haya Kuhusu Mziki wa Tanzania - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Oct 2015

Baada ya Kushinda Tuzo Tatu za AFRIMMA 2015, Mwanamuziki Diamond Asema Haya Kuhusu Mziki wa Tanzania

Diamond Platnumz Ameweka Ujumbe Huu Katika Page yake  ya Instagram:

"Dah, I realy don't know What to say ...
dha! hata sijui nizungumze nini... 
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)"