January Makamba Naamini Amepata cha Kujifunza - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Nov 2015

January Makamba Naamini Amepata cha Kujifunza

Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.

Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.

Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.