Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA,Phillip Mpango amewasimamisha kazi wafanyakazi 37 mchana huu kupisha uchunguzi wa sakata la upotevu wa makontena bandarini
Mpango pia ametoa agizo la watumishi wote wa TRA kuwasilisha taarifa za mali zao kwa utawala na kusiwepo na udanganyifu wowote.
Amesema mpaka sasa TRA imekusanya kiasi cha Tsh Bilioni 5 za kodi ya makontena hayo yaliyokuwa yamepitishwa kinyemela