Maajabu..Mwanamke Akutwa Chini ya Shimo la Choo...Inasemekana Aliwekwa Kama Msukule..Samahani kwa Picha - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2016

Maajabu..Mwanamke Akutwa Chini ya Shimo la Choo...Inasemekana Aliwekwa Kama Msukule..Samahani kwa Picha

Picha hizi Zinasambaa Mtandaoni hasa Instagram zikimuonyesha Mwanamke akiwa hivyo

Inasemekana Mwanamke huyo amekutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.dunia ina mambo hii duuuuu

Tunafatilia Habari Kamili kisa cha huyo dada kuishi ndani ya Shimo la choo..