Wadada Tubadilike Tabia ya Kuomba omba Kwa Wanaume si Nzuri inatudhalilisha - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2016

Wadada Tubadilike Tabia ya Kuomba omba Kwa Wanaume si Nzuri inatudhalilisha


Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia Sababu ni kawaida yako, Hii tabia ndio inafanya mnamegwa ovyo ovyo

Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela. Ombaomba siku hizi hawapo barabarani tu hata Kwenye simu zetu hasa kupitia Whats app wanasumua kinoma...

Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa sababu sio kawaida yako.