Latest
HOME
HABARI
SIASA
UDAKU
MICHEZO
AFYA
MAPENZI
VIDEOS
AUDIO
NAFASI ZA KAZI
3 Jan 2016
New
New AUDIO[Cover] | Maua Sama x Ibrah - Hello (Adele Reggae Cover) | Download#Listen
AUDIOS
Read more
Newer Post
Older Post
Home
ZILIZOSOMWA ZAIDI
MWAKA 1 WA RAIS MAGUFULI:Swali la Mwandishi yupi limekuvutia..?,Soma maswali na majibu kati ya Mh.Rais na Waandishi.
Jana ilikua siku ya 365 tangu ilipotimia November tano mwaka Jana na nchi yetu kubadilisha utawala wake kwa njia ya kura zilizopigwa mwezi O...
Samatta Azifuata Mwenyewe Arsenal na Chelsea
Bao la kwake mwenyewe pamoja na jingine la Jere Uronen, yamemwezesha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kuzifuata klabu...
Wazee wa CHADEMA Wamtuhumu Msajili wa Vyama Kwa Kuandaa Mitego Haramu ya Kukifuta Chama Hicho
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limetoa pongezi kwa Kamati Kuu ya chama hicho kuahirisha maandamano na mik...
Babu wa Miaka 89 Ajichimbia Kaburi Canada
"Wajukuu watajua kwamba babu yao alishinda kaburi lake," anasema Bw Kickham Mzee wa umri wa miaka 89 nchini Canada amegongwa vi...
Pamoja na Operesheni 13, hii ni sababu inayomfanya Millen Magese asikate tamaa
Kufanyiwa upasuaji mara 13 si kitu cha mzaha. Na tena kwa tatizo lenye maumivu makali kama la Endometriosis. Kipi kinachompa nguvu ya kue...
Viongozi na Wafuasi 10 wa Chadema Jijini Mbeya Wakamatwa na Polisi
Viongozi na wafuasi 10 wa Chadema jijini Mbeya wamekamatwa na polisi usiku wa kuamkia leo wakiwa wamelala kwenye ngome yao waliyoweka kwa...
Akiongea na East Africa Radio kwenye kipindi cha PlanetBongo, amesema iwapo BASATA wataamua kumchukulia hatua waanze kwanza kwa kujihukumu wenyewe, na kisha ndio wamfuate. “Hao BASATA wenyewe nafikiri wamo umo ndani, umo wataanza kesi yao wenyewe alafu ndo waanze kwa wengine, sitaki kuzungumzia sana hii ngoma lakini naweza nikasema BASATA pia wanahusika kwenye hii ngoma, wamo humo”, alisikika Ney wa Mitego akisisitiza kuhusu kuwepo kwa mstari uliowachana BASATA. Kwenye wimbo huo Ney amesema “Hizi taarifa zangu na ziwafikie BASATA nyie ni kuku au bata, msumeno usiokata, kazi kufungia nyimbo mnajua shida tunazopata? Hamjui wajibu wenu mgekuwa watoto washawachapa”. Pamoja na hayo Ney amesema ameamua kutoa wimbo huo kwa kuwa aliona game limepoa na watu walikuwa wanahitaji kitu kama hicho. “Ni wimbo ambao nimeongea vitu vingi sana, wananchi nimewapa kitu ambacho walikuwa wanakihitaji, kwa muda mrefu nimewaletea muziki mzuri ambao watanzania watapenda kuusikia siku zote, kwa sababu wasikia kitu ambacho wanakijua, muda mrefu sana wamemiss muziki wa hivi, muda mrefu game imepoa, muziki umelala this time nimewaletea kitu ambacho wanataka”, alisema Ney wa Mitego a.ka. True Boy
Bunduki hiyo aina ya Riffle Na 7209460 CAR Na 63229, imepatikana mara baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwakamata watu 9 wanaotuhumiw...
Hizi Hapa Siri Tano za Ndoa ya Wastara Juma na Mbunge kuvunjika!
Saa 24 tu tangu kupatikana kwa habari kwamba, ndoa ya staa wa sinema za Bongo, Wastara Juma aliyoifunga na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzib...
Watumishi Hewa 169 wa Serekali Wagundulika Mkoani Kigoma..Mkuu wa Mkoa Atoa Amri
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga amewataka wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo katika halmashauri zote kut...
Wasira Atumia Saa 2 Kupinga Ushindi wa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya Mahakama Kuu Mwanza
Shahidi wa tatu katika kesi namba moja ya mwaka 2015 ya kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo la Bunda Mjini, Stephen Wasira leo amepanda k...
Powered by
Blogger
.