“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5. “Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.” Jionee picha zaidi. Read more