Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wapata kura 0, UKAWA 31 - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2016

Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wapata kura 0, UKAWA 31

Baada ya mvutano mkali unaoendelea wabunge wa CCM wa ilala wametoka nje kususia uchaguzi.
Matokeo ya Umeya Ilala,
1. Charless Kuyeko (UKAWA) kura 31,
2. Heri Kessy (CCM) kura 0.